๐ Apple imetoa mifumo mipya ya iOS 26, iPadOS 26, na macOS Tahoe kwa developers wote
Imeweka mabadiliko makubwa zaidi ya 100, yakiwemo muundo mpya wa - Liquid Glass, - Menu bar mpya, - Uboreshaji wa apps, - Mwonekano mpya wa Spotlight kwenye Mac. ๐
๐ Mfumo mpya wa mwaka huu wa VisionPro; utaanza kuwa na uwezo wa kukubali support ya kuunganisha controllers za PlayStation, Xbox na Spatial controllers
๐ YouTube imeanza kujaribio ya mwonekano mpya wa Video Player yake ya video kwenye website. Hii ni mara ya kwanza kubadilisha mwonekano wa Video Player yake baada ya takriban miaka kumi.
Vitufe vya Play/Pause, Next, na sehemu za video (chapters) zitakuwa na umbo la kona za duara