Clouds Media
banner
cloudsmedia.bsky.social
Clouds Media
@cloudsmedia.bsky.social
A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.
Katika kuelekea katika shamrashamra za miaka 25 ya Clouds Media, Big Joe @josephkusaga ameamua kuianza Jumatano wiki hii kama mtangazaji wa zamu akiongoza vipindi vya Clouds FM na Clouds TV.

Tune kuanzia 12 alfajiri Jumatano hii tuichane kalenda ya 2024 na kuuanza mwaka mpya wa Clouds Media.
December 3, 2024 at 6:53 PM
Heri ya Mwaka Mpya wa Clouds Media, zoezi rasmi la kuchana kalenda yetu ya 2024 na kutambulisha shamra shamra za mwaka wetu wa wetu wa 25, itafanyika kuanzia Jumatano tarehe 4 Desemba.

Asante kwa verification ya MWAKA 2024 #Clouds25
December 2, 2024 at 8:15 AM